Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


1.KWANI KISARAWE 2 (TWO) NI WAPI …..?
Kisarawe 2 ni kigamboni kituo kinachofuata baada ya kibada wengine wanapaita kigogo ni Km 7 kutokea kibada stendi njia ya kwenda mwasonga au dar es salaam zoo hii barabara ambayo ipo kwenye hatua za mwisho kabisa za kumwaga lami hivyo ni kimbilio la wateja wengi kwasasa kabla bei hazijapanda
2. KWANINI KISARAWE 2 NA SIO SEHEMU NYINGINE …?
Kwasababu ni karibu sana na ferry/ darajani na panafikika kirahisi , KISARAWE 2 ni umbali ya dakika 35 kutoka site hadi kufika ferry / darajani na hakuna foleni panafikika kirahisi ni Km 14 kutoka darajani/ ferry
3. BEI ZAKE ZIPOJE …?
Bei za kisarawe 2 ni shilingi elfu therathininkwa mita moja ya mraba (SQM 1 = 30,000) hivyo ukubwa wa kiwanja unaoutaka unazidisha mara mita moja ya mraba
Mfano ; SQM 600 (mita 30 kwa 20) unazidisha mara 30,000Tsh = 18M
4; UMILIKI WAKE UPOJE ….?
Viwanja vipo vinne vya swm 600, SQM 800, SQM 1200, SQM 2650, VYOTE VINA HATI KAMILI KITOKA WIZARA YA ARDHI.
5. MALIPO YAKE YAPOJE …?
Unaweza kulipa Cash (kwa mkupuo) au kwa awamu lakini utapewa mwezi mmoja wa kumalizia malipo.
6. SIKU YA KWENDA SITE NI LINI ..? NA OFISI ZENU ZIKO WAPI…?
Ofisi zetu zipo kigamboni kibada karibu na KIBADA GARDEN na kila siku tunaenda site.
7.MAWASILIANO
☎️0767894547
☎️0629894547