Plots for sale at Kimbiji, Dar Es Salaam


Haya sasa wadau wa beach plot mpooo!!
Beach ni mita 150 tu yani ni upepo tu,sisi kazi yetu nikukupa wewe unachohitaji tena kwakuzingatia huduma boraa🔥🔥
Mradi upo kimbiji
Sqm 1 ni Tsh.28,000 tu
Ukubwa wa viwanja unaanzia Sqm 431 hadi sqm 1050
Utalipia Asilimia ishirini na tano (25%) tu kwa mwezi wa kwanza na miezi inayobaki utalipia kidogo kidogo
Km 2.5 kutoka barabara kuu hadi kufika site
Mita 150 kutoka mradi ulipo mpka baharini
Baada ya Malipo kukamilika tu unapata na Hati yako tena ni hati kutoka wizarani (Hati kubwa) kwa Asilimia mia (100%)
Tupigie No.☎️0 699 543 621
Ofisi zetu zinapatikana Mwananyamala