Plots for sale at Kimbiji, Dar Es Salaam


Mabosi zangu eeee,tumewaletea beach plot nzuri kabisa na kwa bei ya kitanzania kabisa 💯💯
Viwanja hivi vinapatika kimbiji yani kama paradiso vile🔥😇
Viwanja vinapatikana KIMBIJI
-Bei ya sqm 1 ni Tsh.28,000 tu
-ukubwa wa viwanja unaanzia sqm 431 Hadi sqm 1050
-Malipo ya cash punguzo la 10%
Malipo ya instalment (kidogo kidogo), Malipo ni miezi 18
-Utalipia 25% kwa mwezi wa kwanza (1) kisha miezi inayofuata utalipia kidogo kidogo
-Mradi upo km 2.5 tu kutoka barabara kuu na ni Mita 130 tu kutoka usawa wa bahari
Tupigie No. ☎️ 0 699 543 621
Ofisi zetu zinapatikana Mwananyamala