Plots for sale at Mbagala, Dar Es Salaam


kiwanja hapa Bei inaanzia Tsh 550,000 tu…
Maji yapo site na umeme upo karibu kabisa( nguzo 3 hadi site)
Site inapatikana MWANAMBAYA, mwanambaya ipo km 2 kutoka KISEMVULE MWISHO, mbele ya Mbagala (KILWA ROAD), mkoa wa Pwani
Viwanja vipo KM 3 kutoka lami kwa pikipiki ni TSH 1000 tu ( ukilipa zaidi nakurudishia pesa yako)
Magari hadi mwanambaya yanapatikana KIGAMBONI, TEMEKE NA MBAGALA..
Ukubwa wa kiwanja ni FUTI 50x40 bei yake inaanzia TSH 550,000
Kwa taratibu za kutembelea site tupigie kwenye namba zetu 0710855997/0752855996
Whatsapp 0769355987