Plots for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 3,500,000
Project
Yes

KAWAIDA YETU KUUZA ENEO LIKIWA SAFI NA MUONEKANO MZURI

ZINGA KANISANI.

NJIA KUELEKEA KANISA LA ROMA.

ENEO LIPO KATI YA KEREGE NA ZINGA TOWN BAGAMOYO

● Bei tunauza sqm 1 kwa 18,000Tsh na malipo ni kwa awamu mpaka miezi sita(6) yaani kiwanja cha ukubwa wa 20mita kwa 20mita unapata kwa 7milioni na hiyo unalipa kwa miezi sita tu.

Malipo utaanza na 3.5milioni tu, nyingine utalipa kwa awamu ya miezi sita(6).

Ukimaliza malipo utafutaji wa hatimiliki unaanza hapohapo bila kuchelewa.

● Hapa tumepima viwanja 50 tu na vyote tunaviuza viwanja vyenye ukubwa wa 20*20 mpaka 30*40 namaanisha 400sqm,500sqm,600sqm,700sqm,800sqm,900sqm mpaka 1200sqm vipo kwa hiyo utaamua wewe unachukua ukubwa upi.

● Mradi upo mita 500 kutoka barabara kubwa ya lami yanapopita mabasi, unatembea kwa miguu kufika kituoni.

● Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

● Mitaa tumeichonga vizuri na barabara za mitaa tumeweka kubwa size ya 10mita. Unangoja nin kununua sehemu kama hii maana bei ni kama tumegawa bure.

● Majirani wapo tayari na huduma kama maduka ya vitu vidogo vidogo yapo hapo hapo site.

KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE NAMBA HIZI

#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima na yenye mamlaka ya kupauza hapa, haruhusiwi mtu yeyote kukanyaga kwenye eneo bila ruhusa ya kampuni.

Tunawajari sana wateja wetu.

Fika ofisini kwetu TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK), MBEZI BEACH TANKI BOVU - DAR ES SALAAM.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 30,000,000

KIWANJA KIZURI KINAUZWA LOCATION:MBEZI KWA MSUGURI UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 1.7SIFA ZAKE:KIMEJEN...

4 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 550,000

NYUMBA YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 550,000/= X 6 ITAKUA WAZI K...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

(300,000X4) MBEZI KWA MSUGULI 1KM BODA ELF MOJA BAJAJI 700➖➖➖➖➖➖➖➖APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA L...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA IPO MBEZI MWISHO NYUMA TU KIDOGO YA STAND YA MKOA MAGUFULI BUS TER...

Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000

ENEO KUBWA SAFI KABISA LINA UZWA MBEZI MWISHO BARABARA YA MPIGI MAGOE KM 2.5 KUTOKA LAMI BARABA...

2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI -----Vyumba 2 vya kulala vyote master bedroom Seble kubwa...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

#VYUMBA_VITATU (NYUMBA NI NDOGO) INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI-MBEZI BEACH______________KOD...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

(300,000X4) MBEZI KWA MSUGULI 1KM BODA ELF MOJA BAJAJI 700➖➖➖➖➖➖➖➖APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA L...

1 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

(250,000X6) MBEZI KIBANDA CHA MKAA MBEZI KIBANDA CHA MKAA DK5- 7 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD ➖➖➖➖...

3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 65,000,000

NYUMBA INAUZWA BINAFSI IPO MBEZI MAKABE DAR ES SALAAM TANZANIA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MAST...

Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 140,000,000

Kiwanja kizuri sana kinauzwa:Ukubwa-sqm 1763Umiliki- hati miliki Bei-ml 140 maongezi Location- Mbezi...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT MPYA KALI SANA INAPANGISHWA IPO MBEZI MALAMBA MAWILI DSM, DK 8 KWA MIGUU. ________________...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

Apartment House for rent Chumba sebule jiko chooPrice 500,000Kwamwezi Malipo miezi 6Location mbezi b...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 387,747

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6 🌟 APARTMENT H...

Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 140,000,000

Kiwanja kizuri sana kinauzwa:Ukubwa-sqm 1763Umiliki- hati miliki Bei-ml 140 maongezi Location- Mbezi...

4 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

$ 900 per month

#VYUMBA_VINNE_VYA_KULALA#INAPANGISHWA#APARTMENTMBILIIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH RAINBOW...

3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 65,000,000

NYUMBA INAUZWA IPO MBEZI MAKABEINA VYUMBA VITATUSEBUREMASTERJIKOPUBLIC DOCUMENTS HATI YA MAUZIANO...

4 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 550,000

NYUMBA YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 550,000/= X 6 ITAKUA WAZI K...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT KALI SANA MPYA INAPANGISHWA IPO MBEZI MALAMBA DSM. DK 2 TOKA LAMI. ___________________KODI...

5 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000,000

NYUMBA IYO INAUZWABei milioni 300 ( maongez )@Mahali mbezi kwa msuguliKutoka kituoni mpaka kwenye ny...