Viwanja vinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 3,500,000
Project
Yes

KAWAIDA YETU KUUZA ENEO LIKIWA SAFI NA MUONEKANO MZURI

ZINGA KANISANI.

NJIA KUELEKEA KANISA LA ROMA.

ENEO LIPO KATI YA KEREGE NA ZINGA TOWN BAGAMOYO

● Bei tunauza sqm 1 kwa 18,000Tsh na malipo ni kwa awamu mpaka miezi sita(6) yaani kiwanja cha ukubwa wa 20mita kwa 20mita unapata kwa 7milioni na hiyo unalipa kwa miezi sita tu.

Malipo utaanza na 3.5milioni tu, nyingine utalipa kwa awamu ya miezi sita(6).

Ukimaliza malipo utafutaji wa hatimiliki unaanza hapohapo bila kuchelewa.

● Hapa tumepima viwanja 50 tu na vyote tunaviuza viwanja vyenye ukubwa wa 20*20 mpaka 30*40 namaanisha 400sqm,500sqm,600sqm,700sqm,800sqm,900sqm mpaka 1200sqm vipo kwa hiyo utaamua wewe unachukua ukubwa upi.

● Mradi upo mita 500 kutoka barabara kubwa ya lami yanapopita mabasi, unatembea kwa miguu kufika kituoni.

● Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

● Mitaa tumeichonga vizuri na barabara za mitaa tumeweka kubwa size ya 10mita. Unangoja nin kununua sehemu kama hii maana bei ni kama tumegawa bure.

● Majirani wapo tayari na huduma kama maduka ya vitu vidogo vidogo yapo hapo hapo site.

KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE NAMBA HIZI

#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima na yenye mamlaka ya kupauza hapa, haruhusiwi mtu yeyote kukanyaga kwenye eneo bila ruhusa ya kampuni.

Tunawajari sana wateja wetu.

Fika ofisini kwetu TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK), MBEZI BEACH TANKI BOVU - DAR ES SALAAM.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

NYUMBA KUBWA NZURI INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI 300,000/= X 6 ITAKUA WAZI ...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI DK5 KUTOKA LAMI. ------Chumba master Seble ku...

Viwanja vinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 35,000

Mbezi Makabe na Good neighbourhood!!Wateja wetu wakichagua viwanja!Bei ya Cash ni Tsh 35,000 kwa Sqm...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

(350,000X6)MBEZI MWISHO ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6🌟APA...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

NYUMBA KUBWA NZURI INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI 300,000/= X 6 ITAKUA WAZI ...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

(300,000 × 6) #STAND_ALONE 𝗠𝗕𝗘𝗭𝗜 𝗞𝗜𝗕𝗔𝗡𝗗𝗔 𝗖𝗛𝗔 𝗠𝗞𝗔𝗔NYUMBA KUBWA NZURI INAYOJITEGEME...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI YA VYUMBA 3 YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6🌟APARTMENT HII IN̈A SIFA ZIF...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

NYUMBA KUBWA NZURI INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI 300,000/= X 6 ITAKUA WAZI ...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 145,000,000

ENEO KUBWA ZURI LIMEPIMWA LIPO MBEZI KWA YUSUPH LIPO SEHEMU NZURI SANA LINAUZWA MILIONI 145 MAONGEZ...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

Apartiment house for rent nzuri kali Location mbezi kibanda cha mkaa km 2 usafiri upo bajaji na boda...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 6 💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO# CHU...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

KODI 300000 K X6APATIMENTI ZIPO MBEZI MWISHO KAMA UNATOKA MUJINI KUSHOTOUMBALI WA KILOMITA 2 POINT 5...

Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 160,000

APARTMENT KALI MNO JIRANI NA LAMI MBEZI KWA MSUGURI DK 3 LAMI KWA MGUU BEI 160000X6CHUMBA MASTER SEB...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 387,747

NYUMBA KUBWA NZURI INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI 300,000/= X 6 ITAKUA WAZI ...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 38,000,000

#OFA #OFA #OFA NIMEISHUSHA BEI KUTOKA MILIONI 38 HADI 35 NA BADO MAONGEZI YAPO VIZUR #BEI NI MILIONI...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI ZA KISASA ZINAPANGISHWA ZIPO 2 KWENYE FENSI IMEBAKI 1 TUU KODILAKI 300,000X4X5X6APA...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

🏡House For Rent #Stand Alone Location: MBEZI KIBANDA CHA MKAA Upande Wa Kulia Kama Unaenda Mbezi Di...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,400,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI KM1 KUTOKA LAMI -----Vyumba 2 vya kulala kimoja master b...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

(300,000X6) MBEZI KIBANDA CHA MKAA 2KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 700➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖NYUMBA KUBWA NZURI ...

Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 55,000,000

NYUMBA INAUZWA ------------------------------📌MBEZI MALAMBA MAWILI📌Umbali: KILOMETA 1 KUTOKA LA...