Plots for sale at Mbweni, Dar Es Salaam
Tuna viwanja kadhaa hapa Mbweni Malindi lakini leo tunatoa kiwanja kimoja kwa mtu yeyote ambae atawahi lakini tunatamani sana kijana aweke mjengo wake hapa
Kiwanja kina Sqm 416 bei yake ni 27M pamoja na hati miliki karibuni sana maboss
#viwanja #mashamba #lapexproperties #nyumba #mashamba