Plots for sale at Nala, Dodoma


NAUZA VIWANJA HIVI;
Vipo nala eneo la nala chihoni
Km 15 kutoka mjini kati na km 4 tuu kutoka barabara ya lami ya kwenda singida
Viwanja vimepimwa
Na vipo jiran na umeme
Viwanja vinaukubwa tofauti tofauti; Kuanzia m² 600 mpaka 1000m²
Bei kwa kila kiwanja ni Milioni 2.5
Vipo mita 200 kutoka sub ringroad inayopita zuzu na kutokezea nala jamaika..na imeshaanza kuwekwa lami mkandarasi yupo kazini