1 Bedroom House for Sale in Buhongwa, Mwanza (500 sqm)
Buhongwa, Mwanza
21 days ago
Sh. 13,500,000
Amenities
Electricity
New ConstructionDescription
Jamani mwenye kesh kimbia chapu sio ya kulala kabisa Kuna mtu kakwama huku, ipo mwanza buhongwa ya sawa, ni chumba na sebule self mavyumba makubwa sana, eneo 25 kwa 20 ina umeme Nyumba mpya kabisa njoo chapu inauzwa ml 13.5 tu aise pg cm mmoja tu















