2 Bedrooms House for Rent in Kigamboni Geza Ulole, Dar Es Salaam

Type
House
Bedrooms
2
Amenities
Description
🏡 NYUMBA NZURI INAPANGISHWA – KIGAMBONI GEZA ULOLE, DAR ES SALAAM
✨ Nyumba kali sana yenye muonekano wa kisasa na ubora wa hali ya juu
🔹 Sifa za Nyumba:
• Vyumba 2 vya kulala 🛏️
• Sebule kubwa na ya kisasa 🛋️
• Dining area 🍽️
• Jiko zuri lenye makabati ya kisasa 🍳
• Vyumba vikubwa na vyenye mwanga wa kutosha 🌞
🔹 Ubora wa Nyumba:
• Aluminium windows & doors
• Tiles za kisasa
• Gypsum nzuri ndani
🔹 Huduma & Mazingira:
• Umeme wa kujitegemea ⚡
• Ndani ya fence
• Parking kubwa ya kutosha 🚗
• Ulinzi wa uhakika 🛡️
• Mtaa salama na wenye ulinzi
💰 Kodi: TZS 500,000 kwa mwezi
📅 Malipo: Miezi 6 mbele
💵 Service Charge: TZS 30,000 (Site Visit)
📞 Call/WhatsApp: +255 746 407 197
#dalali #dalalikigamboni #gezaulole #kigamboni #dar es salaam nyumbainapangishwa houseforrent realestate tzrealestate chatgpthousesforrent googlebesthouseforrent
