Search

3 Bedrooms Apartment for Sale in Kinyerezi Kibaga, Dar Es Salaam (400 sqm)

video thumbnail
Sh. 58,000,000

Description

🏘️ APARTMENTS ZINAUZWA – KINYEREZI KIBAGA

💥 Fursa Adimu ya Uwekezaji!

📍 Eneo: Kinyerezi Kibaga
💰 Bei: Milioni 58 Tu!
📐 Ukubwa wa Kiwanja: SQM 400

Sifa za Nyumba:

✅ Apartments 3
✅ Kila nyumba ina Master, Sebule na Jiko
✅ Zipo ndani ya fensi
✅ Gari linafika hadi kwenye nyumba
✅ Maji na umeme vinapatikana
✅ Zote tayari zimepangishwa

💵 Mapato ya sasa: Kila nyumba inapangishwa TSh 250,000 kwa mwezi.

📈 Fursa ya kuongeza mapato: Kadri maendeleo ya eneo la Kinyerezi Kibaga yanavyoendelea, kodi inaweza kufikia TSh 300,000–350,000 kwa kila nyumba kulingana na maboresho na hali ya soko.

🔥 Nunua leo, anza kupata mapato ya kodi mara moja huku thamani ya mali yako ikiendelea kuongezeka.

📞 Service Charge: 30,000/=
📞 Wasiliana: +255 688 412 890

Dalali Wakishua
Miliki Kesho Yako Leo!!!