3 Bedrooms House for Rent in Africana, Dar Es Salaam


Mbezi Beach Africana, Dar Es Salaam
3 hours ago
Sh. 500,000/month
Amenities
Description
Nyumba hii ni kwamba
Ukubwa ni vyumba v 3 kulala kimoja ni masta kubwa sana
Sebule ipo kubwa
Jiko lipo kubwa sana
Kodi sh laki 5 //
Nyumba hii ni mpya ndio mafundi wapo saiti
Ilipo njia ya mbezi bichi kituo ni afrcana
#















