Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Africana, Dar Es Salaam


Mbezi Beach Africana, Dar Es Salaam
4 hours ago
Sh. 500,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba hii ni kwamba
Ukubwa ni vyumba v 3 kulala kimoja ni masta kubwa sana
Sebule ipo kubwa
Jiko lipo kubwa sana
Kodi sh laki 5 //
Nyumba hii ni mpya ndio mafundi wapo saiti
Ilipo njia ya mbezi bichi kituo ni afrcana
#















