3 Bedrooms House for Sale in Geza Ulole, Kigamboni, Dar Es Salaam

Amenities
Description
🏡🔥 KONA PLOT HOT CAKE INAUZWA – GEZA ULOLE, KIGAMBONI 🔥🏡
📍 Eneo: Geza Ulole, Kigamboni – Dar es Salaam
Kiwanja hiki cha kona (Corner Plot) kinauzwa katika eneo zuri na lenye maendeleo makubwa sana.
✅ Kina nyumba ya vyumba 3 vya kulala✅ Sebule kubwa✅ Dining✅ Jiko✅ Umeme tayari upo✅ Maji yanapatikana✅ Kiwanja kimepimwa✅ Kina Hati Safi ya Wizara ya Ardhi✅ Kona plot yenye fursa kubwa ya uwekezaji
📌 Umbali:✔ Mita 400 tu kutoka Ofisi za Manispaa ya Kigamboni✔ Km 10 hadi Ferry✔ Km 10 hadi Barabara ya Lami
🏗 Eneo limezungukwa na nyumba za kisasa na miradi mbalimbali ya maendeleo, hivyo linafaa kwa makazi ya familia au uwekezaji wa uhakika.
💰 Bei: Milioni 125🤝 Mazungumzo yapo kidogo sana.
🚗 Service Charge: Tsh 30,000 kwa kuoneshwa eneo.
📞 Call/WhatsApp: +255746407197
#creatorsearchinsights #dalalikigamboni #dalalidaressalaam #dalalinyumbaviwanja #realestateapartment kigamboni gezaulole plotforsale dar es salaam hotcake realestate















