3 Bedrooms House for Sale in Kibada Mwela, Dar Es Salaam (800 sqm)


Type
House
Bedrooms
3
Plot Size
800 SQM
Nearest Road
1km
Amenities
Description
🏡 NYUMBA YA KUHAMIA INAUZWA – KIGAMBONI KIBADA MWELA 🏡
Unatafuta nyumba nzuri ya kuhamia mara moja? Hii ni fursa yako ya kupata nyumba katika eneo tulivu na linalokua kwa kasi la Kibada Mwela, Kigamboni.
✅ Vyumba 3 vya kulala
✅ Vyumba 2 Master
✅ Sebule kubwa na eneo la dining
✅ Jikoni lenye nafasi ya kutosha
✅ Plot Size: SQM 800
✅ Mazingira mazuri kwa familia na uwekezaji
📍 Umbali
• Kilomita 1 kutoka barabara kuu
• Kilomita 10 kutoka Ferry
• Kilomita 7 kutoka Daraja la Nyerere
💰 Bei: Milioni 115 tu (Mazungumzo yapo kwa mnunuzi makini)
📞0769554221
Karibu sana Kigamboni Property – Tunakuunganisha na nyumba bora kwa bei sahihi! 🏠✨
#trendingvideo #istagram #realestateforsale #tanzania🇹🇿 #trendingsongs















