Search

3 Bedrooms House for sale in Kinyerezi Kibaga, Dar Es Salaam

Sh. 65,000,000

Description

#Repost dalali_viwanja_nyumba_dar_
——
šŸ˜ļø APARTMENTS ZINAUZWA – KINYEREZI KIBAGA

šŸ’„ Fursa Adimu ya Uwekezaji!

šŸ“ Eneo: Kinyerezi Kibaga
šŸ’° Bei: Milioni 65tu
šŸ“ Ukubwa wa Kiwanja: SQM 350

Sifa za Nyumba:

āœ… Apartments 3
āœ… Kila nyumba ina Master, Sebule na Jiko
āœ… Zipo ndani ya fensi
āœ… Gari linafika hadi kwenye nyumba
āœ… Maji na umeme vinapatikana
āœ… Zote tayari zimepangishwa

šŸ’µ Mapato ya sasa: Kila nyumba inapangishwa TSh 250,000 kwa mwezi.

šŸ“ˆ Fursa ya kuongeza mapato: Kadri maendeleo ya eneo la Kinyerezi Kibaga yanavyoendelea, kodi inaweza kufikia TSh 300,000–350,000 kwa kila nyumba kulingana na maboresho na hali ya soko.

šŸ”„ Nunua leo, anza kupata mapato ya kodi mara moja huku thamani ya mali yako ikiendelea kuongezeka.

šŸ“ž Service Charge: 50,000/=
šŸ“ž Wasiliana: au

Miliki Kesho Yako Leo!!!

Dalali tabata kinyerezi tz

dalali_tabata_kinyerezi_tz

@dalali_tabata_kinyerezi_tz

View Listings

Similar properties in Kinyerezi, Dar Es Salaam

3 Bedrooms House for Sale in Kinyerezi Mwisho, Dar Es Salaam (900 sqm)

Sh. 110,000,000

For Sale3 beds1 bath900 sqmhouse
Dalali tabata kinyerezi tz