Search

3 Bedrooms House for sale in Masaki Kahama, Shinyanga

video thumbnail
Kahama, Shinyanga
21 days ago
Sh. 55,000,000

Description

Nyumba kubwa ya kisasa tunauza kwa bei ya offer
Inapatikana Masaki Kahama

Ina vyumba 3 Vyakula
Sebule mbili
Maji na umeme Vimefika
Barabara ya uhakika
Eneo ni 30x28 = SQM 620

Bei ni Tshs 55,000,000/=

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia simu
Ni 0752587400

Karibuni nyote

#tanzania #kahama #dalalikahamamanispaa #nyumba #nyumbazakisasa