Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Masaki Kahama, Shinyanga

Kahama, Shinyanga
10 hours ago
Sh. 55,000,000
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba kubwa ya kisasa tunauza kwa bei ya offer
Inapatikana Masaki Kahama
Ina vyumba 3 Vyakula
Sebule mbili
Maji na umeme Vimefika
Barabara ya uhakika
Eneo ni 30x28 = SQM 620
Bei ni Tshs 55,000,000/=
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia simu
Ni 0752587400
Karibuni nyote
#tanzania #kahama #dalalikahamamanispaa #nyumba #nyumbazakisasa





