4 Bedrooms House for Sale in Kigamboni Kibada, Dar Es Salaam (520 sqm)
Type
House
Bedrooms
4
Plot Size
520 SQM
Nearest Road
400m
Description
NYUMBA YA KISASA INAUZWA – KIGAMBONI KIBADA 🏡
Fursa ya kupata nyumba ya kisasa yenye ubora wa hali ya juu katika eneo tulivu na linalokua kwa kasi.
✨ Sifa za Nyumba:
• Vyumba 4 vya kulala (3 Master)
• Sebule kubwa
• Dining
• Jiko la kisasa lenye makabati ya kutosha
• Full AC
• CCTV Camera
• Electric Fence
• Garden nzuri
• Paving ya kisasa
📍 Mahali:
• Mita 400 kutoka barabara kuu ya lami
• Kilomita 4 kutoka Ferry
• Kilomita 3 kutoka Daraja la Nyerere
📐 Ukubwa wa Kiwanja: Square Meter 520
📄 Hati: Hati ya Wizara
💰 Bei: TZS Milioni 340 (Mazungumzo kidogo
📞
📍Service Charge 30,000
#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio
Nyumba ya kununua kigamboni
Nyumba yakuuza Kigamboni
Kiwanja cha kununua kigamboni
Kiwanja cha kuuza kigamboni
Viwanja kigamboni inzima
Nyumba kigamboni inzima
Beach plot kigamboni inzima
dalali kigamboni inzima















