Search

4 Bedrooms House for Sale in Mjimwema / Makibugumo, Kigamboni, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 65,000,000

Description

#trendingvideo #istagram #realestateforsale #tanzania #trendingsongs 🏡 BOMA LINAUZWA – KIGAMBONI, MJIMWEMA / MAKIBUGUMO 🏡

Je, unatafuta nyumba ya kisasa katika eneo zuri na linalokua kwa kasi? Hii ndiyo fursa yako!

✅ Vyumba 4, vyote Master Bedroom
✅ Sebule kubwa na jiko la kisasa
✅ Limezungushiwa fensi pande zote
✅ Lina geti imara
✅ Gari linafika hadi nyumbani
✅ Umbali wa mita 300 kutoka barabara ya lami
✅ Takribani km 7 kutoka Feri ya Kigamboni
✅ Takribani km 4 kutoka Daraja la Mwalimu Nyerere
✅ Mazingira tulivu, salama na yenye huduma muhimu karibu

💰 Bei: TZS 65,000,000 (Milioni 65)

📞 Wasiliana nasi: 0769 554 221

Similar properties in Kigamboni, Dar Es Salaam