4 Bedrooms House for Sale in Tabata Cha’ngombe, Dar Es Salaam (800 sqm)

Type
House
Bedrooms
4
Bathrooms
4
Plot Size
800 SQM
Amenities
Description
🏡 NYUMBA INAUZWA – TABATA CHA’NGOMBE, DAR ES SALAAM 🏡
💰 Bei: Milioni 170 Tu
📐 Ukubwa: SQM 800
📜 Hati Miliki ya Wizara
Nyumba hii ya kisasa ipo ndani ya fensi katika eneo zuri la Tabata Cha’ngombe, lenye miundombinu bora na mazingira mazuri ya kuishi.
✅ Vyumba 4 vya kulala, viwili Master Bedroom
✅ Sebule kubwa na ya kisasa
✅ Dining Room
✅ Jiko la kisasa
✅ Choo cha wageni (Public Toilet)
✅ Maji na umeme vipo
✅ Kisima cha maji
✅ Water Reserve Tank
🏠 Pia kuna vyumba 4 vya nje, kila kimoja kikiwa na Master Bedroom, sebule na jiko, vinavyoweza kukuingizia kipato kizuri cha kodi kila mwezi.
👉 Unaweza kununua kwa ajili ya makazi binafsi au uwekezaji wa nyumba za kupangisha na kupata mapato ya uhakika.
📍 Eneo tulivu, salama na linalokua kwa kasi.
📞 Simu: +255 688 412 890
💵 Service Charge: 50,000/=
🏆 DALALI WAKISHUA
🔥 Wahi Sasa Offer Kabambe!
✨ Miliki Kesho Yako Leo!!!















