8 Bedrooms House for Sale in Mtoni Kijichi, Dar Es Salaam (1027 sqm)

Mtoni, Temeke, Dar Es Salaam
8 hours ago
Sh. 650,000,000
Type
House
Bedrooms
8
Plot Size
1027 SQM
Amenities
Water Supply
Electricity
Solar Power
Title Deed
Description
NYUMBA YA GHOROFA INAUZWA – MTONI KIJICHI, DAR ES SALAAM
Fursa nzuri ya uwekezaji au makazi katika eneo tulivu na linalokua kwa kasi.
Bei: TSh 650,000,000
Maelezo ya Mali:
• Ukubwa wa kiwanja: SQM 1,027
• Vyumba 8 vya kulala – vyote Master Bedroom
• Visima 2 vya maji (uhakika wa maji muda wote)
• Umeme upo
• Solar system ipo
• Eneo linafikika kwa urahisi na lina miundombinu mizuri
Nyumba hii inafaa kwa:
✔ Makazi ya familia kubwa
✔ Guest house au lodge
✔ Uwekezaji wa kupangisha
Hati na nyaraka zipo tayari kwa uhakiki.
Kwa mawasiliano zaidi au kupanga kuja kuiona:
Latifa Mbonde
Real Estate Consultant
📞 0715 919 296
#viral #tanzania #mustwatch#trending ##
