Tafuta

Nyumba ya vyumba 8 inauzwa Mtoni Kijichi, Dar Es Salaam (1027 sqm)

video thumbnail
Sh. 650,000,000

Maelezo

NYUMBA YA GHOROFA INAUZWA – MTONI KIJICHI, DAR ES SALAAM

Fursa nzuri ya uwekezaji au makazi katika eneo tulivu na linalokua kwa kasi.

Bei: TSh 650,000,000

Maelezo ya Mali:

• Ukubwa wa kiwanja: SQM 1,027
• Vyumba 8 vya kulala – vyote Master Bedroom
• Visima 2 vya maji (uhakika wa maji muda wote)
• Umeme upo
• Solar system ipo
• Eneo linafikika kwa urahisi na lina miundombinu mizuri

Nyumba hii inafaa kwa:
✔ Makazi ya familia kubwa
✔ Guest house au lodge
✔ Uwekezaji wa kupangisha

Hati na nyaraka zipo tayari kwa uhakiki.

Kwa mawasiliano zaidi au kupanga kuja kuiona:
Latifa Mbonde
Real Estate Consultant
📞 0715 919 296
#viral #tanzania #mustwatch#trending ##

Matangazo yanayofanana Mtoni, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mtoni Kijichi, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 300,000,000

  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Chumba cha Msaidizi

  • Dining

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mtoni Kijichi, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 300,000,000

  • Ardhi Tambarare

  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Chumba cha Msaidizi

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mtoni Kijichi, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 300,000,000

  • Ardhi Tambarare

  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Chumba cha Msaidizi

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mtoni Kijichi, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 300,000,000

  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Ardhi Tambarare

  • Chumba cha Msaidizi