Shop for Rent in Sinza, Dar Es Salaam

Amenities
Description
🔥 FREM INAPANGISHWA – SINZA 🔥
Bei: 350,000/= kwa mwezi
Service Charge: 30,000/=
Frem kubwa sana ipo eneo zuri na mtaa uliochangamka kwa biashara 🙌
Inafaa kwa biashara yoyote, hasa saloon kama unavyoona kwenye muonekano wake 💇‍♀️✨
Pia unaweza kuongea moja kwa moja na mwenye frem mkakubaliana akuachie baadhi ya vitu uendelee na biashara kirahisi zaidi 👍
📞 Call: 0787093748















