Shop for Rent in Sinza Mori, Dar Es Salaam


Amenities
Description
🔥 FREM KUBWA SANA INAPANGISHWA – SINZA MORI 🔥
Wafanyabiashara hii ndiyo nafasi sahihi kwa biashara yako kukua! 💼✨
📍 Sinza Mori
💰 Bei: 2,500,000/=
🏢 Frem kubwa sana yenye nafasi ya kutosha
✅ Inafaa biashara yeyote
📌 Ipo sehemu nzuri sana ya biashara
🌟 Mazingira mazuri na movement ya watu ya kutosha
🧾 Service Charge: 30,000/=
Usikubali kupitwa na nafasi hii ya kipekee! 📞
Call/WhatsApp: 0787093748















