Guesthouse for Sale in Mtaa wa Magogo, Geita Mjini (4800 sqm)

Amenities
Description
Fursa nzuri ya uwekezaji katika sekta ya malazi na huduma za wageni ndani ya Geita Mjini.
π¨ HOTEL INAUZWA β GEITA MJINI
π Mahali Ilipo Hotel ipo Mtaa wa Magogo, Geita Mjini, eneo lenye huduma muhimu na miundombinu bora.
Karibu na:
β
Barabara ya lami
β
Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Geita (mita 200 tu)
β
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa β Magogo
β
Ofisi ya Manispaa ya Geita
β
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita
π Ukubwa wa Eneo
Jumla ya eneo: Meta za mraba 4,800
Urefu: Meta 120
Upana: Meta 40
π§ Miundombinu iliyofika
β
Kisima kirefu chenye maji ya uhakika
β
Umeme
β
Barabara nzuri ya kufikika mwaka mzima
π’ Miundombinu ya Hotel
ποΈ Vyumba vya Wageni
6 Suite Rooms
Chumba cha kulala
Sebule
Bafu
Balcony
Dressing room
8 Deluxe Rooms
Chumba cha kulala
Bafu
Balcony
Dressing space
πΉ Bar & Bustani
Gazebo 5
Garden sitting area
VIP Lounge
π½οΈ Restaurant
π Maegesho ya Magari (Parking)
π₯ Ukumbi wa Mikutano (Conference Hall)
π° BeiTSh 580M
π Mawasiliano 0767241001
NB
DOCUMENT HATI

