Hospital for Sale in Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

Kimara, Dar Es Salaam
12 hours ago
Sh. 9,500,000,000
Description
*HOSPITAL INAUZWA*
*IPO Kimara Korogwe*
*Inauzwa na kila kitu chake kilichokuwepo ndani*
*Hii Hospitali ipo kwenye ngazi ya Hospitali ya Wilaya*
*Inafanya kazi masaa 24*
*Hospitali ni kubwa na inajulikana sana*
*Mmiliki ni mmoja*
*Ina HATI ya KISASA ya WIZARA*
*Mwenyewe ameamua kuuza mali yake*
*BEI NI TSH 9.5b/- maongezi yapo kidogo*
*Kazi hii ni nzuri sana na imenyooka haina konakona kukagua mda wowote hakuna masharti*
##0688617926
##0655256419




