Tafuta

Hospitali inauzwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 9,500,000,000

Maelezo

*HOSPITAL INAUZWA*

*IPO Kimara Korogwe*

*Inauzwa na kila kitu chake kilichokuwepo ndani*

*Hii Hospitali ipo kwenye ngazi ya Hospitali ya Wilaya*

*Inafanya kazi masaa 24*

*Hospitali ni kubwa na inajulikana sana*

*Mmiliki ni mmoja*

*Ina HATI ya KISASA ya WIZARA*

*Mwenyewe ameamua kuuza mali yake*

*BEI NI TSH 9.5b/- maongezi yapo kidogo*

*Kazi hii ni nzuri sana na imenyooka haina konakona kukagua mda wowote hakuna masharti*

##0688617926
##0655256419

Matangazo yanayofanana Kimara, Dar Es Salaam