House for Sale in Buhongwa, Mwanza (1 acre)



Buhongwa, Mwanza
20 days ago
Sh. 55,000,000
Amenities
Near Paved Road
Near RoadDescription
Zingatia location na ukubwa wa eneo ni zaidi ya eka moja pamoja na nyumba yake bei milioni 55 tu! Pesa faster
Nyumba ipo kwenye barabara kubwa sana ya kupigwa lami ya kutokea Buhongwa kuelekea kigongo ferry yaani mita 400 tu! Kutoka pale shell ya RHK KARURUMA
Maelezo zaidi nenda WhatsApp 0763 296 711 ourdalali_real_estate_limited















