Plot for sale in Bigwa Chilakale, Morogoro sqm 2800


Plot Size
2800 SQM
Amenities
Description
🌴 𝐊𝐈𝐖𝐀𝐍𝐉𝐀 𝐊𝐈𝐍𝐀𝐔𝐙𝐖𝐀 – BIGWA CHILAKALE, MOROGORO MJINI 🌴
📍 Jirani sana na barabara kubwa.
Tunakuuzia kiwanja kizuri chenye ukubwa wa zaidi ya SQM 2800 kilichopo Bigwa Chilakale, Morogoro Mjini.
✅ Kina miti ya miembe, minazi na mimea mingine ya matunda ✅ Eneo kubwa na tambarare ✅ Majirani tayari wana makazi yao ✅ Umeme na maji vinapatikana karibu ✅ Mazingira mazuri na salama ✅ Kinafaa kwa makazi, biashara au uwekezaji
📐 𝐔𝐤𝐮𝐛𝐰𝐚: SQM 2800+
💰 𝐁𝐞𝐢: Milioni 80 Tu
🔥 Fursa adimu katika eneo linalokua kwa kasi Morogoro Mjini.
📞𝐌𝐚𝐰𝐚𝐬𝐢𝐥𝐢𝐚𝐧𝐨: 0678 517 158 /0785 517 158









