Search

Residential Plot for Sale in Kinyerezi Mbuyuni, Dar Es Salaam (1100 sqm)

video thumbnail
Sh. 85,000,000

Amenities

Surveyed Land
Near Paved Road
Near Road
Tiles
Has Title Deed

Description

Kiwanja kinauzwa Kinyerezi Mbuyuni, njia ya kuelekea airport. Kipo umbali wa dakika 2 tu kutoka barabara ya lami, karibu sana na roundabout ya Mbuyuni.

Ukubwa wake ni sqm 1,100, kipo tambarare kabisa. Barabara ni nzuri na inafikika kirahisi hadi kwenye site, hata wakati wa mvua.

Eneo linafaa kwa:

* Makazi binafsi (jenga dream house yako kwa nafasi kubwa)
* Uwekezaji wa apartments
* Guest house / lodge
* Airbnb (BNB) โ€“ location ni nzuri sana kwa biashara hii

Kiwanja kimepimwa, na hati itatoka moja kwa moja kwenye jina lako.

๐Ÿ’ฐ Bei: Milioni 85 (mazungumzo yapo kidogo)
๐Ÿ“Œ Service charge: 30,000/=

๐Ÿ“ž Wasiliana: +255 688 412 890

Karibu ndugu mteja โ€” Dalali wako Wakishua ๐Ÿ”‘

Similar properties in Kinyerezi, Dar Es Salaam

Residential Plot for Sale in Kinyerezi Kibaga, Dar Es Salaam (1200 sqm)

Sh. 220,000,000

  • Title Deed

  • Near Paved Road

  • Flat Land

Residential Plot for Sale in Kinyerezi, Dar Es Salaam

Sh. 10,000,000

  • Near Bus Stand

  • Near Road