Tafuta

Kiwanja kinauzwa Kinyerezi Mbuyuni, Dar Es Salaam (1100 sqm)

video thumbnail
Sh. 85,000,000

Aina

Kiwanja

Residential Plot for sale in Kinyerezi

Ukubwa

1100 SQM

Barabara ya Karibu

2m

Huduma na Sifa

Ardhi Iliyopimwa
Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na Barabara
Tiles
Has Title Deed

Maelezo

Kiwanja kinauzwa Kinyerezi Mbuyuni, njia ya kuelekea airport. Kipo umbali wa dakika 2 tu kutoka barabara ya lami, karibu sana na roundabout ya Mbuyuni.

Ukubwa wake ni sqm 1,100, kipo tambarare kabisa. Barabara ni nzuri na inafikika kirahisi hadi kwenye site, hata wakati wa mvua.

Eneo linafaa kwa:

* Makazi binafsi (jenga dream house yako kwa nafasi kubwa)
* Uwekezaji wa apartments
* Guest house / lodge
* Airbnb (BNB) โ€“ location ni nzuri sana kwa biashara hii

Kiwanja kimepimwa, na hati itatoka moja kwa moja kwenye jina lako.

๐Ÿ’ฐ Bei: Milioni 85 (mazungumzo yapo kidogo)
๐Ÿ“Œ Service charge: 30,000/=

๐Ÿ“ž Wasiliana: +255 688 412 890

Karibu ndugu mteja โ€” Dalali wako Wakishua ๐Ÿ”‘

Matangazo yanayofanana Kinyerezi, Dar Es Salaam

Kiwanja kinauzwa Kinyerezi Kifuru, Dar Es Salaam (625 sqm)

Sh. 60,000,000

  • Ardhi Iliyopimwa

  • Uzio

  • Umeme

Kiwanja kinauzwa Kinyerezi Kifuru, Dar Es Salaam (625 sqm)

Sh. 60,000,000

  • Ardhi Iliyopimwa

  • Uzio

  • Umeme

Kiwanja kinauzwa Kinyerezi Zimbili, Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 65,000,000

  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Karibu na Barabara

Kiwanja kinauzwa Kinyerezi Kibaga, Dar Es Salaam (1200 sqm)

Sh. 220,000,000

  • Hati

  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Ardhi Tambarare

Kiwanja kinauzwa Kinyerezi Kifuru, Dar Es Salaam (625 sqm)

Sh. 60,000,000

  • Ardhi Iliyopimwa

  • Uzio

  • Umeme

Kiwanja kinauzwa Kinyerezi, Dar Es Salaam

Sh. 10,000,000

  • Karibu na Stendi ya Mabasi

  • Karibu na Barabara

Kiwanja kinauzwa Kinyerezi, Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 45,000,000

  • Uzio

  • Ardhi Tambarare

  • Karibu na Shule

Kiwanja kinauzwa Kinyerezi, Dar Es Salaam

Sh. 10,000,000

  • Karibu na Barabara

Kiwanja kinauzwa Kinyerezi Zabikah, Dar Es Salaam (800 sqm)

Sh. 80,000,000

  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Ardhi Tambarare

  • Uzio

Kiwanja kinauzwa Kinyerezi Mbuyuni, Dar Es Salaam (800 sqm)

Sh. 85,000,000

  • Ardhi Iliyopimwa

  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Uzio

Kiwanja kinauzwa Kinyerezi Zabikah, Dar Es Salaam (800 sqm)

Sh. 80,000,000

  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Ardhi Tambarare

  • Uzio