Residential Plot for Sale in Tabata Kinyerezi, Dar Es Salaam (7249 sqm)

video thumbnail
Sh. 500,000,000 per month

Type

Residential Plot

Plot Size

7249 SQM

Installment

Available

Amenities

Fence
Surveyed Land

Description

Eneo kubwa sana linauzwa bei milion 500 maongezi kidogo yapo, ukubwa wa eneo la kiwanja square meter 7249, hapa katika kiwanja hiki kipo ndani ya fensi kubwa sana unakagua hadi unachoka kutembea, pia hapa migomba ya ndizi, machungwa, minazi, maembe, ndimu, n.k, pia kuna mabanda mawili ndani ya fensi na mageti 2, eneo limepimwa tayari, hapa unaweza jenga apartment, yard, godwn, makanisa n.k, Location tabata kinyerezi dar es salaam

Calls/whatsapp 0768682919 au 0653233641

Service charge tsh 70000

Napatikana tabata kinyerezi mbuyuni opposite na ngekili hotel dar es salaam