House for Sale in Kigamboni, Mikwambe (Maliasili), Dar Es Salaam (650 sqm)

Amenities
Description
🏡 MABOMA MAWILI YANAUZWA – KIGAMBONI, MIKWAMBE (MALIASILI )🏡
Fursa adimu kwa wawekezaji na wanaotafuta eneo lenye maendeleo ya haraka.
Boma la Kwanza
✅ Lina nyumba 2 za chumba kimoja na sebule
✅ Zote ziko mbele na zinagusana na barabara ya mtaa
Boma la Pili
✅ Vyumba 3
✅ Sebule
✅ Dining
✅ Lipo ndani ya kiwanja hicho hicho
📐 Ukubwa wa kiwanja: Kuanzia 650 Sqm
📍 Mahali ilipo:
• Mita 300 kutoka barabara kuu ya lami
• Kilomita 9 kutoka Feri
• Kilomita 10 kutoka Daraja la Nyerere
💰 Bei: TZS Milioni 45
Maongezi yapo kwa mnunuzi makini.
💼 Fursa za Uwekezaji:
✔️ Kujenga apartments za kupangisha
✔️ Hostel
✔️ Guest House
✔️ Nyumba ya kisasa ya familia (Dream House)
📞0769554221
#trendingvideo #istagram #realestatemarket #tanzania #trendingaudio















