House for Sale in Tabata Kimanga, Dar Es Salaam (770 sqm)

Amenities
Description
🏡 NYUMBA TATU ZINAUZWA KWA PAMOJA – TABATA KIMANGA, DAR ES SALAAM
📍 Nchi: Tanzania
🏙️ Jiji: Dar es Salaam
📌 Eneo: Tabata Kimanga
💰 Bei: TZS Milioni 250 (Maongezi Yapoo)
📐 Ukubwa wa Viwanja:
✅ Nyumba Kubwa – SQMT 420
✅ Nyumba Ndogo ya Kwanza – SQMT 175
✅ Nyumba Ndogo ya Pili – SQMT 175
📏 Jumla ya Eneo: SQMT 770
📄 Nyaraka:
✔️ Nyumba Kubwa Ina Hati Safi
✔️ Nyumba Mbili Nyingine Zina Mauziano ya Serikali ya Mtaa (Sales Agreement)
🚗 Umbali: Mita 800 kutoka Barabara ya Kimanga Mwisho
🏠 Faida za Nyumba:
✅ Kila nyumba inajitegemea
✅ Mmiliki ni mmoja
✅ Inafaa kwa makazi au uwekezaji wa kupangisha
⚠️ Gharama ya Viewing: TZS 50,000
📞 Kwa Site Visit na Maelezo Zaidi:
0714 575 588
🏢 WAGS Investment Real Estate Company
📍 Makumbusho Plot No. 73, Block A
📱 Instagram: @wags_investment8















