House for sale in Tabata Segerea, Dar Es Salaam

Amenities
Description
🏡 NYUMBA INAUZWA – TABATA SEGEREA VIWANJA VYA BENKI 🏡
📍 Location: Tabata Segerea – Viwanja vya Benki, Dar es Salaam.
✅ Nyumba ipo ya pili kutoka barabara ya lami.
✅ Ipo kwenye neighborhood nzuri sana na tulivu.
✅ Eneo limejengeka vizuri, hakuna uswahili.
✅ Inafaa kwa makazi ya familia au uwekezaji.
📐 Ukubwa wa kiwanja: SQM 750
📄 Hati miliki ya Wizara ya Ardhi ipo.
💰 Bei: Tsh Milioni 160
🗣 Maongezi yapo kidogo kwa mnunuzi serious.
Karibu tajiri tumalize biashara 🤝
💵 Service charge / Gharama ya huduma: 50,000/=
📞 Muhitaji piga: +255688412890















