Search

1 Bedroom House for Rent in Kigamboni Kisota, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 200,000/month

Description

๐Ÿ  VYUMBA VYA KUPANGISHA โ€“ KIGAMBONI KISOTA DAR ES SALAAM ๐Ÿ 

Nyumba mpya kabisa zinapangishwa Kigamboni Kisiwani, eneo zuri sana karibu kabisa na Daraja. Mazingira ni salama, tulivu na yanafaa sana kwa wanafunzi, wafanyakazi pamoja na biashara ya Airbnb.

โœจ Sifa za nyumba:
โœ… Chumba
โœ… Choo
โœ… Jiko
โœ… Nyumba mpya kabisa
โœ… Zipo ndani ya fensi
โœ… Umeme unajitegemea
โœ… Maji unajitegemea
โœ… Maji safi ya kisima/septic ya uhakika
โœ… Ulinzi wa kutosha
โœ… Mazingira safi na tulivu

๐Ÿ“ Karibu sana na Daraja
๐Ÿ“ Usafiri rahisi kwenda mjini

๐Ÿก Nyumba hizi zinafaa sana kwa:
โœ”๏ธ Wanafunzi wa IFM
โœ”๏ธ TIA
โœ”๏ธ Mwalimu Nyerere Memorial Academy
โœ”๏ธ Utumishi
โœ”๏ธ CBE
โœ”๏ธ DIT
โœ”๏ธ Luce
โœ”๏ธ Wafanyakazi wa mjini
โœ”๏ธ Biashara ya Airbnb

๐Ÿ’ฐ Kodi: TZS 200,000 tu kwa mwezi

๐Ÿš— Service Charge: TZS 30,000 kwa site visit

๐Ÿ“ž Call/WhatsApp: +255746407197

#creatorsearchinsights #dalalikigamboni #dalalidar es salaam #dalalinyumbaviwanja #realestateapartment dalalidaressalaam kigamboni airbnb roomsforrent dar es salaam hostel apart

Similar properties in Kigamboni, Dar Es Salaam