Search
-
-

6 Bedrooms House for Sale in Tabata Segerea, Dar Es Salaam (600 sqm)

video thumbnail
Sh. 280,000,000

Type

House

Bedrooms

6

Plot Size

600 SQM

Amenities

Title Deed
Near Paved Road
Tiles
Potential For Apartments
Potential For Guest House
Potential For Office

Description

NYUMBA INAUZWA – TABATA SEGEREA

Nyumba inauzwa ipo Tabata Segerea, karibu kabisa na barabara ya lami (nyumba ya pili kutoka lami). Inafikika kwa urahisi, mitaa ni mizuri na eneo limetulia kwa makazi na biashara.

🔹 Ukubwa wa eneo: Sqm 600
🔹 Nyumba kuu: Vyumba 6
🔹 Aina: Ina muundo unaofaa kuboreshwa (renovation) kuwa:

* Apartments
* Guest House / Lodge
* Ofisi
* Au makazi binafsi ya kisasa

🔹 Hati: Hati miliki ya Wizara ipo tayari
🔹 Bei: TZS Milioni 280 (mazungumzo yapo)

📍 Eneo lina potential kubwa kibiashara — uwekezaji wako unaweza kuanza kuingiza kipato haraka.

📞 Wasiliana sasa: +255688412890

Dalali wako Wakishua – chagua mali sahihi, ishi maisha bora.