Search

4 Bedrooms House for Sale in Mbagala Chamazi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 95,000,000

Description

🏡 NYUMBA YA KISASA INAUZWA – MBAGALA CHAMAZI 📍kwa mkongo 🔥

Unatafuta nyumba nzuri ya familia au uwekezaji? Hii hapa nyumba ya kisasa kabisa iliyopo Chamazi, ndani ya mazingira mazuri, salama na yenye maendeleo ya haraka. 🔥

✨ SIFA ZA NYUMBA
✅ Vyumba 4 vya kulala
✅ Vyumba 2 Master Bedroom
✅ Sitting Room kubwa na ya kisasa
✅ Dining Room
✅ Jiko la kisasa pamoja na Store
✅ Public Toilet
✅ Kisima cha maji cha uhakika
✅ Parking kubwa ya magari

📍 Location: Mbagala Chamazi – Dar es Salaam
✅ Dakika chache kutoka barabara ya lami
✅ Hati safi ya serikali ya mtaa
✅ Inafaa kwa makazi au uwekezaji

💰 Bei: Milioni 95 tu
🤝 Maongezi yapo kwa mteja serious

📞 Kwa maelezo zaidi na kwenda site:
☎️ 0683 665504

🔥 Njoo ukague mwenyewe, nyumba ni kali sana na inavutia!

#NyumbaInauzwa #Chamazi #Mbagala #DarEsSalaam #RealEstateTanzania

Similar properties in Chamazi, Dar Es Salaam