Search

3 Bedrooms House for Sale in Kibada Mwela, Dar Es Salaam (600 sqm)

video thumbnail
Sh. 125,000,000

Description

NYUMBA KUBWA YA
KIFAMILIA INAUZWA-KIGAMBONI KIBADA MWELA
• Nyumba mpya kabisa-unanunua unaingia moja kwa
moja (hakuna marekebisho)
“ LOCATION:
Kibada Mwela-Kigamboni
Km3 kutoka Kibada Stendi/Roundabout
Km1 kutoka barabara ya lami Mtaa mzuri, tulivu na salama
Barabara zinapitika muda wote (kiangazi na mvua)
# SIFA ZA NYUMBA:
• Vyumba 3 vya kulala(1 Master)
= Sebule kubwa
• Dining area
Jiko la kisasa
*AC ipo
• Umeme upo
• Maji safi(bila chumvi)
@ Finishing kali (aluminium, tiles, gypsum)
KWA NJE:
Kiwanja kikubwa-SQM 600
Kimezungushiwa fence
Mazungira mazuri ya kuishi na familia
6 FAIDA YA UWEKEZAJI:
Inaweza kupangishwa kuanzia Tsh 700,000+ kwa mwezi
Sehemu tulivu sana-unaishi kwa amani na familia yako
bila usumbufu wowote
Majirani wazuri na eneo lina usalama
DOCUMENT:Serikali ya mtaa
BEI:MILIONI 125(ina nafasi ndogo ya maongezi)
• Wahi mapema-deal nzuri kwa nyumba ya kiwango hiki!
:mawasiliano
0614130017

Similar properties in Kibada, Dar Es Salaam