Search

3 Bedrooms House for sale in Kigamboni Dege, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 130,000,000

Description

🏑 NYUMBA INAUZWA – KIGAMBONI CHEKA, DAR ES SALAAM 🏑

πŸ“ Eneo lipo Kigamboni Dege, nyuma ya Somangila Sekondari
🏠 Nyumba kuu ina vyumba 3 vya kulala
🏘️ Pia kuna nyumba za wapangaji 9 tayari kwa biashara ya kodi
πŸ“ Ukubwa wa eneo ni SQM 800
βœ… Nyumba imekamilika kabisa na tayari kwa kuishi
πŸ’Ό Inafaa kwa makazi na uwekezaji wa biashara kwa pamoja

πŸ’° Bei: Milioni 130 tu β€” maongezi yapo kwa mnunuzi serious πŸ”₯

πŸ“Œ Service Charge: Tsh 30,000

πŸ“ž Call/WhatsApp: O719969102

Similar properties in Kigamboni, Dar Es Salaam