Search

3 Bedrooms House for Sale in Kimara Suka, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Sh. 115,000,000

Description

NYUMBA KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAUZWA MILIONI 115 MAONGEZI YAPO

πŸ’₯ NYUMBA HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2.5 HADI KWENYE NYUMBA

NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#STORE
PARKING
MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24

BEI NI 115 MILIONI

DOCUMENT NI HATI SAFI YA MAUZIANO KUTOKA SERIKALI YA MTAA

KUPELEKWA SITE KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 30
_____
CONTACT US:

dalali_kimara_mbezimwisho_goba

dalali_kimara_mbezimwish_goba

@dalali_kimara_mbezimwish_goba

View Listings

Similar properties in Kimara, Dar Es Salaam

dalali_kimara_mbezimwisho_goba