Search

3 Bedrooms House for sale in Kinyerezi Kibaga, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 65,000,000

Description

#Repost dalali_viwanja_nyumba_dar_
β€”β€”
🏘️ APARTMENTS ZINAUZWA – KINYEREZI KIBAGA

πŸ’₯ Fursa Adimu ya Uwekezaji!

πŸ“ Eneo: Kinyerezi Kibaga
πŸ’° Bei: Milioni 65tu
πŸ“ Ukubwa wa Kiwanja: SQM 350

Sifa za Nyumba:

βœ… Apartments 3
βœ… Kila nyumba ina Master, Sebule na Jiko
βœ… Zipo ndani ya fensi
βœ… Gari linafika hadi kwenye nyumba
βœ… Maji na umeme vinapatikana
βœ… Zote tayari zimepangishwa

πŸ’΅ Mapato ya sasa: Kila nyumba inapangishwa TSh 250,000 kwa mwezi.

πŸ“ˆ Fursa ya kuongeza mapato: Kadri maendeleo ya eneo la Kinyerezi Kibaga yanavyoendelea, kodi inaweza kufikia TSh 300,000–350,000 kwa kila nyumba kulingana na maboresho na hali ya soko.

πŸ”₯ Nunua leo, anza kupata mapato ya kodi mara moja huku thamani ya mali yako ikiendelea kuongezeka.

πŸ“ž Service Charge: 50,000/=
πŸ“ž Wasiliana: +255 768682919 au 0653233641

Miliki Kesho Yako Leo!!!

Similar properties in Kinyerezi, Dar Es Salaam