Search

3 Bedrooms House for sale in Tabata Segerea Sherry Oilcom, Dar Es Salaam

Sh. 320,000,000

Description

#Repost dalali_viwanja_nyumba_dar_
β€”β€”
🏑 NYUMBA YA BIASHARA INAUZWA – TABATA SEGEREA SHERRY OILCOM, DAR ES SALAAM

Hii ni fursa adimu ya kupata nyumba yenye mapato ya uhakika katika eneo lenye biashara nyingi na linalokua kwa kasi.

✨ Sifa za Nyumba:
βœ… Vyumba 3 vya kulala (1 Master Bedroom)
βœ… Sebule kubwa
βœ… Dining
βœ… Jiko la kisasa
βœ… Store
βœ… Choo cha wageni (Public Toilet)

🏠 Vitu vya Nje:
βœ… Boy’s Quarter
βœ… Jiko la nje
βœ… Choo cha wageni
βœ… Parking ya kutosha

πŸ’Ό Fursa ya Uwekezaji:
βœ… Nyumba kuu tayari ina mpangaji anayelipa TSh 700,000 kwa mwezi.
βœ… Kuna frame 8 za biashara, kila moja ikilipiwa TSh 250,000 kwa mwezi, na zote zina wapangaji tayari.

πŸ“ Location: Tabata Segerea Sherry Oilcom, karibu kabisa na barabara ya lami na nyumba inatazama barabara kuu ya mtaa unaotarajiwa kuwa wa lami.

πŸ“„ Nyaraka: Hati ipo tayari.

πŸ’° Bei: TSh 320,000,000 (Inajadiliwa kidogo kwa mnunuzi mwenye nia ya dhati.)

πŸ“ž Kwa maelezo zaidi na kupanga viewing:
au

Service charge tsh 50000

Miliki Kesho Yako Leo!!!

Ikiwa frame 8 zote zinapangishwa kwa TSh 250,000 kila moja, pamoja na nyumba inayolipa TSh 700,000 kwa mwezi, mapato ya jumla ni TSh 2,700,000 kwa mwezi, jambo linaloifanya hii kuwa fursa nzuri sana ya uwekezaji.

Dalali tabata kinyerezi tz

dalali_tabata_kinyerezi_tz

@dalali_tabata_kinyerezi_tz

View Listings

Similar properties in Segerea, Dar Es Salaam

Plot for sale in Tabata Segerea, Dar Es Salaam sqm 700

Sh. 45,000,000

For Sale700 sqmNegotiable
3 Bedrooms House for sale in Tabata Segerea Sherry Oilcom, Dar Es Salaam

Sh. 320,000,000

For Sale3 beds2 bathshasTitleDeed
2 Bedrooms House for sale in Tabata Segerea, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000,000

For Sale2 beds6,300 sqmhasTitleDeed
2 Bedrooms House for sale in Tabata Segerea, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000,000

For Sale2 beds6,300 sqmhasTitleDeed
Dalali tabata kinyerezi tz