Search

Residential Plot for Sale in Mapinga Kimere, Pwani (1050 sqm)

video thumbnail
Mapinga, Pwani
23 days ago
Sh. 35,000,000

Amenities

Water Supply
Electricity
Near Road
Near Paved Road

Description

🏑 KIWANJA CHA MAKAZI KINAUZWA – MAPINGA KIMERE

πŸ“ Eneo: Mtaa wa Kimere, Mapinga

Unatafuta kiwanja kwa ajili ya makazi au uwekezaji? Hii ni fursa nzuri kwako!

πŸ“ Ukubwa: Meta za mraba 1,050 (1,050 sqm)
πŸ’° Bei: TSh Milioni 35 (Inajadiliwa)

βœ… Takribani Km 5 kutoka Bunju
βœ… Takribani Km 3 kutoka Barabara Kuu ya Bagamoyo
βœ… Miundombinu ya barabara ipo vizuri
βœ… Maji na umeme vinapatikana karibu na eneo la viwanja
βœ… Eneo linafaa kwa makazi na uwekezaji wa muda mrefu

πŸ“ž Kwa maelezo zaidi au kupanga kutembelea eneo, wasiliana na:

Latifa Mbonde
Real Estate Consultant
πŸ“± 0715 919 296

Karibu sana! Ukipata ujumbe huu, tafadhali uwashirikishe ndugu, jamaa na marafiki wanaotafuta kiwanja katika eneo la Mapinga Kimere.

#viralreelschallenge2025viralreelschallengejaiviralreelschallengeviralreelschallengechallenge #viral #realestateinvestment #everyone #trending

Similar properties in Mapinga, Pwani