Search

Residential Plots for Sale in Chidachi Ntyuka, Dodoma (400 sqm)

video thumbnail
Ntyuka, Dodoma
2 months ago
Sh. 8,000,000

Description

📍Viwanja vimebaki vichache Katika
eneo hili
📍CHIDACHI NTYUKA
📍Umbali ni km 7 kutoka Dodoma mjini
📍Kutoka SGR STATION ni Km 3
📍vinanzia 8,000,000 Tsh kwa Sqm 400
📍Umeme Upo
📍Maji yapo na kuna kisima cha Duwasa vipo
📍barabara ya lami ipo kwenye mpango wa kujengwa Hivi
karibuni
📍ni karibu pia na Hospitali ya DCMC ni km 3 tu
📍Nyumba zinajengwa za kisasa ni Mtaa mzuri sana
📍 usafiri kwenda site ni bure kabisa
📍Fika ofisini kwetu nikupeleke site ukaone Viwanja
📍 Ofisi ipo Nyerere Square mtaa wa uhindini mkabala na
benki ya Equity
📍0790111137