Residential Plots for Sale in Chidachi Ntyuka, Dodoma (400 sqm)


Type
Residential Plot
Plot Size
400 SQM
Amenities
Description
📍Viwanja vimebaki vichache Katika
eneo hili
📍CHIDACHI NTYUKA
📍Umbali ni km 7 kutoka Dodoma mjini
📍bei ya 1 Sqm = 15,000 Tsh
📍Vinaanzia 8,000,000 Tsh kwa Sqm 400
Umeme Upo
📍Maji yapo na kuna kisima cha Duwasa hapo
📍barabara ya lami ipo kwenye mpango wa kujengwa Hivi
karibuni
📍 ni karibu pia na Hospitali ya DCMC ni km 3 tu
📍 Nyumba zinajengwa za kisasa ni Mtaa mzuri sana
📍usafiri kwenda site ni bure kabisa
📍Fika ofisini kwetu nikupeleke site ukaone Viwanja
📍Ofisi ipo Nyerere Square mtaa wa uhindini mkabala na EQUITY BANK
📍0790111137















