Search

Residential/Commercial Plot for Sale in Tabata Kinyerezi Mwanzo Mgumu, Dar Es Salaam (270 sqm)

Sh. 7,000,000

Amenities

Electricity
Near Road
Can Build House
Can Build Commercial Frame
Can Build Rental Apartments

Description

#Repost @dalali_mchina_tabata_kinyerezi
β€”β€”
Kiwanja kinauzwa bei milion 7. Ukubwa wa eneo la kiwanja square meter 270. Eneo zuri sana pia kuna barabara ya mtaa ipo pia na nguzo ya umeme ipo karibu sana kama unavyo ona. Hapa unaweza jenga nyumba ya makazi pamoja na fremu kibiashara a apartment za kupangisha na kazarika..., Hii eneo la kiwanja lipo maeneo ya tabata kinyerezi mwanzo mgumu dar es salaam

Piga sim kwa maelezo zaidi

Calls/whatsapp au

Ndugu mteja changamuka eneo aikaiπŸƒπŸƒβ€β™€οΈπŸƒπŸƒβ€β™€οΈ

Service charge tsh 50000

Dalali wa viwanja, nyumba, fremu na gari used

dalali_viwanja_nyumba_dar_

@dalali_viwanja_nyumba_dar_

View Listings

Similar properties in Tabata, Dar Es Salaam

Dalali wa viwanja, nyumba, fremu na gari used