Search

Residential/Commercial Plots for Sale in Dodoma (589 sqm)

 media -1
media -1
Dodoma, Dodoma
23 days ago
Sh. 8,500,000

Description

*MRADI WETU MPYA WA VIWANJA*

MRADI HUU VIMEBAKI VIWANJA👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
*✅589SQM BEI 8.5ML*
*✅591SQM BEI 8.5ML*
*✅608SQM BEI 8.5ML*
*✅614SQM BEI 8.5ML*
*✅620SQM BEI 8.5ML*

SIFA ZA MRADI WETU
*●Viwanja vimepimwa.*
*●Full docoment.*
*●Meter 100 kutoka ring road*
*●Site pako tambarare safi*
*●Huduma muhimu zipo karibu*
*●watu washa anza kujenga*
*●17km kutoka mjini kati.*

*KUBWA ZAIDI TUNAKUTHAMINI MTEJA WETU,MALIPO UNAWEZA LIPA KWA AWAMU AU CASH🔥🔥*

*AWAMU UNAWEZA LIPA NDANINYA MIEZI MITATU*

*KIANZIO NI 4.5ML,INAYOBAKI UNALIPIA LIPA 1.5ML KILA MWEZI*

*USISAHAU BOSS PLOT HIZI ZOTE MATUMIZI YAKE NI MAKAZI NA BIASHARA*

*VIWANJA VIPO KARIBU NA TAASISI KUBWA*
●Benjamin mkapa hosp
●Udom
●Luico
●Mradi mkubwa wa barabara ambayo ishajengwa(ring road).
*mhitaji karibu sana uwekeze*

Sixberth Mbilinyi

mbilinyiviwanja_dodoma

@mbilinyiviwanja_dodoma

View Listings

Similar properties in Dodoma, Dodoma

Sixberth Mbilinyi