Search

Farm for Sale in Mwanzega, Mkuranga, Pwani (120 acre)

Mkuranga, Pwani
6 days ago
Sh. 180,000,000

Type

Farm

Farm for sale in Mkuranga

Plot Size

120 ACRE

Nearest Road

13km

Amenities

Description

SHAMBA/ARDHI SAFI, EKA 120, TSHS.180 MILIONI,MWANZEGA,MKURANGA.

Kijiji GADAGADA,
Wanakolima Pilipili-Hoho (Maji yapo)

Ni njia ya kuelekea KISIJU.
Unaingilia MBEZI.
Kilomita 13 kutika Barabara kubwa.
Ni jirani na KIJIJI CHA WASANII.

Hapa unaweza kufanya shughuli za:
●Kilimo,
●Kuchimba Mchanga wa Ujenzi wa jumla,
●inasemekana Mcha wa hapa ni Malighafi Viwandani.
WACHINA WANAUNUNUA.
●Vilevile ni bora kwa UFUGAJI hasa wa MBUZI.

Chaguo ni lako muwekezaji.

Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.

TUNAHITAJI MNUNUZI WA SHAMBA LOTE.

_________________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548

_________________HLMLMa

Similar properties in Mkuranga, Pwani